sikiliza tena
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Matukio tuliyoyapa uzito wiki hii duniani
Rais wa DRC Felix Tshisekedi
 
Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/05 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/05 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/05 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Michezo

Azam yajichimbia Uganda, kujiandaa na Ligi ya Tanzania

media Azam squad Kikosi cha Azam kilichocheza mechi ya kirafiki dhidi ya URA wiki iliyopita www.azam.co.tz

Klabu ya Azam FC imejichimbia Uganda kwa wiki moja sasa ikijiandaa na mashindano ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara, msimu ujao.

Ligi hiyo ya Tanzania ambayo Simba ni bingwa itaanza Agosti 22 ikishirikisha timu 20 kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara.

Kocha wa Azam, Mholanzi Hans Van Pluijm ameiambia RFI Kiswahili kwamba kambi ya timu yake ni nzuri na anaaamini kikosi chake kitawania taji msimu ujao.

“Maandalizi yanakwenda vizuri na wachezaji wote wako sawa, Ngoma pia ameanza mazoezi mepesi na kuna matumaini ya kujumuika naye siku chache zijazo,”

Donald Ngoma aliumia wakati akiitumikia Yanga msimu uliopita na hakuwemo kwenye kikosi cha Azama ambacho kilishinda taji la Kagame wezi uliopita kwa kuifunga Simba mabao 2-1.

Azam kama ilivyo kwa Simba zinatajwa kama klabu zilizofanya usajili mzito kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu na kichuano mingine ya kimataifa.

Baadhi ya nyota hao ni Nicholaus Wadada, Tafadzwa Kutinyu na Mudathir Yahya

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana