Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Kenya ndio bingwa wa mashindano ya riadha Afrika

Imechapishwa:

Kenya imekuwa nchi bora katika mashindano ya riadha ya Afrika baada ya kunyakua medali 19, zikiwemo 11 za dhahabu, ikifuatwa na Afrika Kusini na wenyeji Nigeria. Yalikuwa ni mashindano ya 21, yaliyoshuhudia maandalizi mabaya yaliyosababisha mamia ya wanariadha kukwama katika uwanja wa ndege mjini Lagos baada ya kukosa ndege ya kuwapeleka mjini Asaba. Tanzania nayo ilijiondoa. Tunajadili. 

Mwanaridha wa Kenya akimaliza mbio za Mita 3,000 kuruka viunzi na maji Agisti 04 2018 katika uwanja wa Stephen Keshi mjini Asaba nchini Kenya
Mwanaridha wa Kenya akimaliza mbio za Mita 3,000 kuruka viunzi na maji Agisti 04 2018 katika uwanja wa Stephen Keshi mjini Asaba nchini Kenya CAA
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.