Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/04 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 20/04 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/04 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Michezo

Rwanda na Uganda zatoka sare ya 2-2 katika michuano baina ya CECAFA

media Pembezoni mwa uwanja wa mpira wa Amahoro mjini Kigali, Rwanda David Kalfa / RFI

Rwanda ilitoka nyuma na kulazimisha sare ya mabo 2-2 dhidi ya Uganda katika michuano ya soka baina ya wanawake katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati CECAFA, inayoendelea jijini Kigali.

Crested Cranes ya Uganda ilianza kwa kupata bao la mapema katika dakika ya 10 ya mchuano huo, kupitia Mutuuzo Lilian lakini Ibangarye Anne Marie’ aliisawazishia Rwanda kupitia mkwaju wa penalti.

Hata hivyo katika dakika ya 74, mchezaji wa Uganda Alupo Norah aliipa timu yake bao la pili, lakini Mukeshimana Jeanette akaizawazishia Rwanda katika dakika za nyongeza za mchuano huo.

Siku ya Alhamisi ni siku ya mapumziko kuelelea michuano ya mwisho siku ya Ijumaa, ambapo Rwanda itacheza na Kenya huku Tanzania ikimenyana na Ethiopia.

Matokeo rasmi

Alhamisi, Julai 19

Kenya 0-1 Uganda

Rwanda 1-0 Tanzania Mainland

Jumamosi, Julai 21

Ethiopia 1-2 Uganda

Kenya 1-1 Tanzania

Jumatatu Julai 23

Uganda 1-4 Tanzania

Rwanda 0-3 Ethiopia

Jumatano, Julai 25

Kenya 0-1 Ethiopia

Uganda 2-2 Rwanda

Ijumaa, Julai 27

Ethiopia v Tanzania – (Stade de Kigali, 14:00)

Rwanda v Kenya – (Stade de Kigali, 16:30)

Timu            M        U       K        D        W      K     TB     Alama

Uganda        4        2        1        1        6        7        -1       7

Ethiopia       3        2        1        0        5        3        2        6

Tanzania      3        1        1        1        5        2        3        4

Rwanda       3        1        1        1        4        5        -1       4

Kenya          3        0        2        1        1        3        -2       1

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana