Michuano ya klabu bingwa na Shirikisho barani Afrika
Michuano ya hatua ya makundi kuwania taji la klabu bingwa na Shirikisho barani Afrika, imeanza tena . Gor Mahia na AFC Leopards zinacheza katika mechi muhimu ya ligi kuu nchini Kenya, maarufu kama Mashemeji Derby. Tunajadili haya na mengine mengi katika Jukwaa la Michezo.
Kuhusu mada hiyo hiyo