Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/07 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 18/07 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 17/07 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Michezo

Michuano ya kufuzu kwa fainali baina ya Vijana wasiozidi miaka 17 yaanza

media Timu za Vijana wasiozidi miaka 17 katika michuano ya COSAFA chini ya miaka 17 Julai 18 2018 www.cafonline.com

Michuano ya soka kufuzu fainali ya bara Afrika kwa wachezaji wasiozidi miaka 17 itakayofanyika mwaka 2019 nchini Tanzania inaanza kuchezwa siku ya Alhamisi.

Ukanda wa Kusini mwa bara la Afrika COSAFA, unatumia michuano yake ya vijana itakayomalizika tarehe 29 mwezi Julai.

Mauritius ni wenyeji wa michuano hii na imepangwa katika kundi moja la A ni Bostwana, Namibia na Ushelisheli.

Ratiba

Julai 19 2018

Namibia vs Ushelisheli

Mauritius vs Botswana

Zambia vs Msumbiji

Mshindi wa michuano hii, atafuzu katika fainali ya bara Afrika na kuungana na mataifa mengine sana ikiwa ni pamoja na wenyeji Tanzania.

Michuano mingine ya kufuzu katika fainali hii kutoka maeneo mengine itaanza mwezi Agosti na Septemba.

 

 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana