Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Ufaransa yashinda kombe la dunia 2018

Imechapishwa:

Timu ya Taifa ya Ufaransa Les Blue imetwaa ubingwa wa fainali za kombe la dunia baada ya kuishinda Croatia mabao 4-2. Mabao ya Ufaransa yamefungwa na Paul Pogba, Kylian Mbappe, Antoine Griezman na bao la kujifunga mshambuliaji wa Croatia, Mario Mandzukic. Mabao ya Croatia yamefungwa na Mario Mandzukic na Ivan Perisic. Tunachambua kwa kina. 

Ufaransa wakisherehekea ushindi wa kombe la dunia nchiNI Urusi Julai 15 2018
Ufaransa wakisherehekea ushindi wa kombe la dunia nchiNI Urusi Julai 15 2018 REUTERS/Darren Staples
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.