Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 23/03 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 23/03 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 22/03 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Michezo

Uhamisho wa Ronaldo huenda ukakamilika saa 48 zijazo

media Mshambuliaji wa Real Madrid Christiano Ronaldo akifunga bao katika mchezo wa ligi ya mabingwa Ulaya, msimu uliopita Alberto PIZZOLI / AFP

Ripoti kutoka nchini Italia zinasema usajili wa mshambuliaji Christiano Ronaldo kutoka Real Madrid kwenda Juventus huenda ukakamilika saa 48 zijazo.

Habari zilizochapishwa na Sky Sports zinasema wakala wa mchezaji huyo, George Mendes leo jumanne anakutaana na rais wa Real Madrid Florentino Perez kujadili hatima ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 33.

Juventus inapanga kutumia euro milioni 88 ili kukamilisha usajili wa mchezaji huyo, mshindi mara tano wa tuzo ya mchezaji bora wa dunia.

 

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana