Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 22/02 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 22/02 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 22/02 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Michezo

Nadal, Federal watinga robo fainali michuano ya Wembledon

media Rafael Nadal amefuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya Wembledon RFI/Pierre René-Worms

Rafael Nadal, mchezaji wa tenisi kutoka Hispania amefuzu moja kwa moja kucheza robo fainali ya michuano ya tenisi ya Wembledon.

Nadal ambaye ni mchezaji namba moja wa tenisi duniani, amemshinda ras wa Jamhuri ya Czech, Jiri Vesely kwa seti 6-3,6-3 na 6-4.

Nadal sasa atachuana na ama Muargentina Juan Martin del Porto au Mfaransa Gilles Simon.

Bingwa mtetezi wa taji hilo, Roger Federal amemshinda Adrian Mannarino kwa seti 6-0, 7-5 na 6-4 dhidi ya Adriano anayeshika nafasi ya 22 kwa ubora duniani.

Federal sasa atachuana na raia wa Afrika Kusini, Kelvin Anderson siku ya Jumatano.

 

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana