Jukwaa la Michezo
Kwanini mataifa mashuhuri kwa kandanda duniani yameshindwa kufua dafu nchini Urusi?
Imechapishwa:
Cheza - 20:22
Fainali za kombe la dunia nchini Urusi zimeshuhudia mataifa mashuhuri kwa kandanda duniani kama Argentina, Brazil,Ujerumani, Hispania na mengine yakishindwa kufua dafu na kujikuta yakiondolewa mapema katika mashindano hayo. Je, sababu ni zipi na mataifa haya yamejifunza chochote? Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi wa kandanda Samuel John na Roland Walter kutathimini kwa kina