Jukwaa la Michezo
Musonye: Viongozi wanahujumu soka Afrika Mashariki na Kati
Imechapishwa:
Cheza - 21:19
Msikilizaji wetu katika makala ya jukwaa la michezo Julai mosi tuliangazia kwa fainali za Kombe la dunia nchini Urusi na pia tumekuletea mahojiano na katibu mkuu wa Cecafa Nicholaus Musonye ambaye alieleza kwa kina kuhusu michuano ya Kombe la Kagame inayorindima nchini Tanzania.