Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 22/04 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 22/04 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 21/04 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Habari mpya kabisa
 • Kumi na tatu wakamatwa kuhusiana na mfulilizo wa mashambulizi Sri Lanka Jumapili (polisi)
 • Mashambulizi Sri Lanka: Idadi ya waliouawa yaongezeka na kufikia 290
 • Maporomoko ya udongo yaua watu 17 Cauca, kusini mwa Colombia, 30 hawajulikani walipo
 • Japani: Carlos Ghosn ashtakiwa ubadhirifu wa fedha katika kampuni ya magari ya Nissan (vyombo vya habari)
Michezo

Kocha wa Senegal: Mabeki hawakuwa makini kuwadhiti Japan

media Kocha wa Timu ya Taifa ya Senegal, Aliou Cisse REUTERS/Maxim Shemetov

Siku moja baada ya timu yake kulazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Japan kocha wa Senegal Aliou Cisse ameeleza kutoridhishwa na namna safu ya ulizi ya timu yake ilivyocheza katika mchezo huo.

Senegal ikiwa mbele kwa mabo 2-1 hadi dakika ya 75 iliruhusu bao la Keisuke Honda dakika ya 78 na kufanya matokeo kuwa sare. Senegal inahitaji ushindi au sare katika m,chezo wa mwisho wa kundi H dhidi ya Colombia ili kufuzu hatua inayofuata.

“Timu bora katika mchezo huo ilikuwa Japan na tunapaswa kukubaliana na hilo, mabeki wangu wanapaswa kuwa borta muda wote kwa kuwa ni wachezaji wakubwa na ambao wanaweza kuisaidia timu yake muda wowote uwanjani,”amesema Cisse aliyekuwa nahodha wa kikosi cha Morocco kilichofika robo fainali ya michuano hiyo mwaka 2002 ilipoandaliwa kwa ushirikiano na nchi za Japan na Korea Kusini.

Mabeki wa kati wa Senegal ni Kalidou Koulibaly na Salif Sane. Senegal ina alama nnem sawa na Japan.

 

 

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana