Jukwaa la Michezo
Kwanini timu za Afrika zimeanza vibaya fainali za Kombe la dunia nchini Urusi?
Imechapishwa:
Cheza - 21:04
Timu za Misri, Morocco na Nigeria zinazowakilisha bara la Afrika katika fainali za Kombe la dunia nchini Urusi zimeanza vibaya michuano hiyo kwa kupoteza mechi za kwanza. Mtangazaji wetu Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi wa Michezo Aloyce Mchunga na Collins Okinyo kutathimini mwanzo huo mbaya na matarajio kwa michezo iliyobaki.