Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 22/02 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 22/02 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 22/02 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Michezo

Hector Cuper: Tulilenga kumlinda Mohammed Salah, asipate majeraha

media Kocha wa Timu ya Taifa ya Misri, Hector Cuper. Pierre René-Worms / RFI

Kocha wa timu ya Taifa ya Misri, Muargentina Hector Cuper amesema uamuzi wa kumuacha nje Mohammed Salah alilenga kumuepusha na hatari zaidi mchezaji huyo.

Salah alikuwa benchi wakati timu ya taifa ya Misri ilipochuana na Uruguay na kushuhudia Misri ikipoteza pambano la ufunguzi kwa bao 1-0 lililofungwa dakika za mwisho na Jose Jiminez.

"Mohammed Salah ni mchezaji mzuri kwenye kikosi chetu, lakini unatakiwa kuwa na timu nzuri na tuna timu nzuri,:amesema Kocha huyo baada ya mchezo.

Cuper aliongeza kuwa Salah atakuwemo kwenye kikosi cha Misri kitakachocheza mechi zinazofuata. Misri itachuana na wenyeji Urusi na Saudi Arabia katika Kundi A.

Misri bado ina rekodi ya kutoshinda michezo mitano iliyopita ya Kombe la dunia. Ietoka sare mechi mbili na kufungwa micheszo mitatu.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana