Makala ya 21 ya fainali za Kombe la dunia imeanza Alahmisi ya Juni 14 mwaka 2018. Afrika inawakilishwa na mataifa matano ya Misri, Nigeria, Senegal, Tunisia na Morocco. Je mataifa ya Afrika yatatamba katika fainali hizi? Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu, kupata maoni yao.
Vipindi vingine
-
Mgombea wa upinzani Bassirou Diomaye Faye mwenye umri wa miaka 44 ashinda uchaguzi nchini Senegal
27/03/202409:48 -
Mgomo wa madaktari nchini Kenya, na sekta ya afya katika mataifa ya Afrika.
Kwa karibu wiki mbili sasa, madaktari nchini Kenya wamekuwa kwenye mgomo kulalamikia mazingira ya kazi na kushinikiza kuajiriwa kwa madaktari zaidi.Hali kama hii ya mgomo pia ikishuhudiwa katika miezi ya hivi karibuni nchini Nigeria.Hali katika sekta ya afya nchini mwako ikoje?Serikali za Afrika zifanye nini kuepusha migomo kwenye sekta ya afya?26/03/202409:57 -
09:31
-
Hatua ya Gambia kuondoa marufuku ya ukeketaji wa wanawake na wasichana
Mamia ya raia wa Gambia wakiwemo wanawake wamefanya maandamano juma hili kuunga mkono sheria inayohalalisha ukeketaji wa wasichana na wanawake20/03/202410:08 -
09:31