Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Rushwa na ukosefu wa maadili unavyosumbua waamuzi wa Afrika

Imechapishwa:

Shirikisho la kandanda duniani Fifa limemwondoa mwamuzi Msaidizi Aden Marwa aliyepaswa kuchezesha fainali za Kombe la Dunia nchini Urusi, baada ya kutuhumiwa kupokea rushwa.Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Ali Saleh akiwa Dodoma, Tanzania na Boniface Osano akiwa Nakuru nchini Kenya kuangazia namna suala la rushwa na ukosefu wa maadili kwa ujumla linavyotikisa mchezo wa kandanda barani Afrika na na kuwanyima waamuzi fursa ya kuchezesha michuano mikubwa ya kandanda duniani.

Mwamuzi wa kimataifa wa Kenya, Aden Marwa ambaye ameondolewa kuchezesha fainali za Kombe la Dunia nchini Urusi
Mwamuzi wa kimataifa wa Kenya, Aden Marwa ambaye ameondolewa kuchezesha fainali za Kombe la Dunia nchini Urusi Wikipedia
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.