Jukwaa la Michezo
Rushwa na ukosefu wa maadili unavyosumbua waamuzi wa Afrika
Imechapishwa:
Cheza - 24:06
Shirikisho la kandanda duniani Fifa limemwondoa mwamuzi Msaidizi Aden Marwa aliyepaswa kuchezesha fainali za Kombe la Dunia nchini Urusi, baada ya kutuhumiwa kupokea rushwa.Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Ali Saleh akiwa Dodoma, Tanzania na Boniface Osano akiwa Nakuru nchini Kenya kuangazia namna suala la rushwa na ukosefu wa maadili kwa ujumla linavyotikisa mchezo wa kandanda barani Afrika na na kuwanyima waamuzi fursa ya kuchezesha michuano mikubwa ya kandanda duniani.