Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 21/08 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 21/08 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 21/08 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Michezo

Michuano ya Tennis French Open yaendelea

media Rafael Nadal kutoka Uhispania (katikati) akiwa na wavulana na wasichana wa baada ya sherehe ya kupewa tuzowakati wa michuano ya French Open, Juni 11, 2012 Reuters/Regis Duvignau

Michuano ya robo fainali katika mashindano ya mwaka huu ya mchezo wa Tennis ya French Open, inaendelea Jumatato jioni wiki hii katika viwanja mbalimbali.

Mhispania Rafael Nadal, anachuana na Diego Schwartzman, kutoka Argentina kwa upande wa wanaume.

Bingwa wa mwaka 2016, Garbine Muguruza kutoka Uhispania mwenye asili ya Venezuela akimenyana na Maria Sharapova kutoka Urusi.

Mchezo mwingine ni katika ya Simona Halep kutoka Romania akimenyana na bingwa wa zamani wa dunia Angelique Kerber kutoka Ujerumani.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana