Jukwaa la Michezo
Mtibwa Sugar itahimili vishindo vya michuano ya klabu Afrika?
Imechapishwa:
Cheza - 21:01
Klabu ya Mtibwa Sugar ya Tanzania imerejea kwenye michuano ya kimataifa baada ya kuishinda Singida United katika fainali ya taji la Shirikisho Tanzania (ASFC). Je klabu hii yenye maskani yake Mkoani Morogoro itahimili ushindani katika michuano ya klabu Afrika? Fredrick Nwaka aliungana na wachambuzi wa soka Gift macha na Samuel John kutathimini kwa kina