Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 18/07 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 18/07 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 18/07 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Mtibwa Sugar itahimili vishindo vya michuano ya klabu Afrika?

Na
Mtibwa Sugar itahimili vishindo vya michuano ya klabu Afrika?
 
Wachezaji wa Mtibwa Sugar wakishangilia ubingwa wa FA waliotwaa baada ya kuishinda Singida United mabao 3-2 Mwanaspoti

Klabu ya Mtibwa Sugar ya Tanzania imerejea kwenye michuano ya kimataifa baada ya kuishinda Singida United katika fainali ya taji la Shirikisho Tanzania (ASFC). Je klabu hii yenye maskani yake Mkoani Morogoro itahimili ushindani katika michuano ya klabu Afrika? Fredrick Nwaka aliungana na wachambuzi wa soka Gift macha na Samuel John kutathimini kwa kina


Kuhusu mada hiyo hiyo

 • AFRIKA-KIKAPU-TANZANIA

  Maandalizi ya kikapu chini ya miaka 18 kanda ya tano, yapamba moto Tanzania

  Soma zaidi

 • YANGA SC-SIMBASC-TANZANIA

  Tuzo za Ligi Kuu Tanzania Bara kutolewa Juni 23

  Soma zaidi

 • TANZANIA-LIGI KUU-SIMBA-YANGA

  Simba yatwaa ubingwa wa Tanzania Bara licha ya kutoshuka uwanjani

  Soma zaidi

 • MPIRA WA KIKAPU

  Tanzania kuandaa michuano ya mpira wa kikapu ya Kanda ya tano Afrika

  Soma zaidi

 • TFF-SIMBA SC-YANGA SC

  Mashabiki wa soka Tanzania wasubiri kwa hamu mechi ya Simba na Yanga

  Soma zaidi

 • TANZANIA-LIGI KUU-SIMBA-YANGA

  Simba yaelekea kunyakua ubingwa wa soka Tanzania bara

  Soma zaidi

 • TANZANIA-DRC-FIFA

  Tanzania, DRC zatambiana kuelekea mchezo wa kimataifa wa kirafiki

  Soma zaidi

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana