Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 16/12 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 15/12 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 15/12 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Michezo

Historia ya wenyeji na washindi wa kombe la dunia tangu 1930

media Taji la kombe ya dunia FIFA.com

Kombe la dunia ni mashindano ya Kimataifa ya mchezo wa soka baina ya wanaume wanaowakilisha mataifa yao.

Michuano hii imekuwa ikichezwa tangu mwaka 1930 ilipoandaliwa kwa mara ya kwanza nchini Uruguay, chini ya usimamizi wa Shirikisho la soka duniani FIFA.

Fainali ya mwaka 2018 nchini Urusi, itakayofanyika kati ya tarehe 14 mwezi Juni hadi 15 mwezi Julai, itakuwa ya 21 katika historia ya michuano hiyo.

Michuano hii, hufanyika kila baada ya miaka minne.

Orodha ya Mataifa ambayo yamewahi kuwa wenyeji wa fainali ya kombe la dunia:-

1930-Uruguay

1934-Italia

1938-Ufaransa

1950-Brazil

1954-Switzerland

1958-Sweden

1962-Chile

1966-Uingereza

1970-Mexico

1974-West Germany

1978-Argentina

1982-Uhispania

1986-Mexico

1990-Italia

1994-Marekani

1998-Ufaransa

2002-Korea Kusini na Japan

2006-Ujerumai

2010-Afrika Kusini

2014-Brazil

2018-Urusi

Historia ya washindi wa kombe la dunia:-

Brazil-Mara 5 (1958,1962,1970, 1994 na 2002)

Ujerumani-Mara 4 (1954,1974,1990,2014)

Italia-Mara 4 (1934,1938,1982,2006)

Argentina-Mara 2 (1978,1986)

Uruguay-Mara 2 (1930,1950)

Ufaransa-Mara 1 (1998)

Uingereza-Mara 1 (1966)

Uhispani-Mara 1 (2010)

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana