Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Burundi yaanda mashindano ya Judo kwa vijana barani Afrika

Imechapishwa:

Klabu ya soka nchini Kenya, Gor Mahia inachuana na Hull City ya Uingereza katika mchuano wa Kimataifa wa kirafiki jijini Nairobi. Michuano ya vijana wasiozidi miaka 20, kufuzu kucheza fainali ya Afrika mwaka 2019 inaendelea na mashindano ya vijana ya mchezo wa Judo yanamalizika jijini Bujumbura Burundi. Tunangaazia haya katika makala yetu Jumapili hii.

Wachezaji wa mchezo wa Judo wakiwa katika mpambano jijini Bujumbura nchini Burundi Mei 13 2018
Wachezaji wa mchezo wa Judo wakiwa katika mpambano jijini Bujumbura nchini Burundi Mei 13 2018 judoafrica.com
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.