Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Yanga yaanza vibaya michuano ya kuwania taji la Shirikisho barani Afrika

Imechapishwa:

Michuano ya hatua ya makundi kuwania taji la klabu bingwa na Shirikisho imeanza katika viwanja mbalimbali barani Afrika. USM Alger ya Algeria inaikaribisha Young Africans ya Tanzania, huku Gor Mahia ya Kenya ikichuana na Rayon Sport ya Rwanda. Tunachambua.

Mchuano kati ya USM Alger  na Yanga FC katika mchuano wa kundi D kuwania taji la Shirikisho barani Afrika
Mchuano kati ya USM Alger na Yanga FC katika mchuano wa kundi D kuwania taji la Shirikisho barani Afrika http://www.cafonline.com/
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.