Jukwaa la Michezo
Yanga yaanza vibaya michuano ya kuwania taji la Shirikisho barani Afrika
Imechapishwa:
Cheza - 24:39
Michuano ya hatua ya makundi kuwania taji la klabu bingwa na Shirikisho imeanza katika viwanja mbalimbali barani Afrika. USM Alger ya Algeria inaikaribisha Young Africans ya Tanzania, huku Gor Mahia ya Kenya ikichuana na Rayon Sport ya Rwanda. Tunachambua.