Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Simba yaishinda Yanga kujiweka katika nafasi nzuri ya kutwaa taji la ligi kuu msimu 2018

Imechapishwa:

Klabu ya Simba FC nchini Tanzania, inaelekea kushinda ligi kuu ya soka nchini Tanzania bara baada ya kuwashinda watani wao wa jadi Yanga kwa bao 1-0 katika mechi iliyochezwa katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam.

Wachezaji wa SImba wakisherehekea ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Yanga katika mchuano muhimu wa taji kuu Tanzania bara
Wachezaji wa SImba wakisherehekea ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Yanga katika mchuano muhimu wa taji kuu Tanzania bara Goal.com
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.