Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 23/04 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 23/04 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 23/04 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Haraka
Kundi la Islamic State (IS) ladai kuhusika na mashambulizi nchini Sri Lanka bila hata hivyo kutoa maelezo zaidi (Amaq)
Michezo

Mwanamasumbwi wa Kenya Brian Agina atoweka Australia

media Pakistan players celebrate their 2-2 draw against India Michezo ya Jumuiya ya Madola, Gold Coast, Aprili 7, 2018. Anthony WALLACE / AFP

Mwanamasumbwi wa Kenya Brian Agina ametoweka katika mji wa Gold Coast, nchini Australia baada ya kumalizika kwa michezo ya Jumuiya ya Madola Jumapili iliyopita.

Taarifa za maafisa wa Kenya wanasema, mwanamasumbwi huyo aliaga kwenda kufanya manunuzi lakini hakurejea kambini Jumapili usiku.

Agina mwenye umri wa miaka 18aliondoka bila kitambulisho chochote na haifamiki yuko wapi huku maafisa wa serika ya Australia wakisema wanaendeleza msako kumtafuta mwanamasumbwi huyo.

Wanamichezo wengine ambao wametoweka katika michezo hiyo pia ni kutoka Uganda na Cameroon.

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana