Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Kenya yafanya vibaya Michezo ya Jumuiya ya Madola

Imechapishwa:

Wanariadha wa Kenya wamefanya vibaya katika Michezo ya Jumuiya ya Madola iliyomaliza leo nchini Australia, baada ya kupoteza medali ya dhahabu katika mbio za ndefu Mita 10,000 , 5,000 na ile ya Marathon. Tunajadili pia michuano ya soka kuwania taji la Shirikisho kwa vlabu barani Afrika.

Kutoka Kushoto: Mshindi wa medali ya Shaba Amos Kirui, mshindi wa medali ya dhahabu  Conseslus Kipruto na mshindi wa medali ya fedha  Abraham Kibiwott wakisherehekea baada ya kushinda mbio za Mita 3000 kuvuka viunzi na maji katika Uwanja wa Carrara katika
Kutoka Kushoto: Mshindi wa medali ya Shaba Amos Kirui, mshindi wa medali ya dhahabu Conseslus Kipruto na mshindi wa medali ya fedha Abraham Kibiwott wakisherehekea baada ya kushinda mbio za Mita 3000 kuvuka viunzi na maji katika Uwanja wa Carrara katika ADRIAN DENNIS | AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.