Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Hugo Broos:Viongozi wa soka wawe na uvumilivu kwa makocha

Imechapishwa:

Kocha Mkuu wa zamani wa Timu ya Taifa ya Cameroon Hugo Broos amewataka viongozi wa soka barani Afrika kuwa wavumilivu kwa makocha ikiwa wanalenga kukuza mchezo huo. Aidha kocha huyo aliyeiwezesha Cameroon kutwaa taji la Afrika mapema mwaka jana nchini Gabon amesisitiza umuhimu wa kuwa na miundombinu thabiti ya mchezo wa soka ikiwemo viwanja.

Kikosi cha timu ya Taifa ya Cameroon kilichoshinda taji la mataifa ya Afrika mapema mwaka jana nchini Gabon.
Kikosi cha timu ya Taifa ya Cameroon kilichoshinda taji la mataifa ya Afrika mapema mwaka jana nchini Gabon. RFI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.