Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Klabu za Afrika Mashariki zaondolewa kwenye michuano ya klabu bingwa na Shirikisho

Imechapishwa:

Klabu za Afrika Mashariki kwa mara nyingine, zimeondolea katika michuano ya klabu bingwa na Shirikisho barani Afrika. Kwanini mambo yanaendelea kuwa hivi ? Klabu zilizofuzu katika hatua ya makundi ni pamoja na:KCCA (Uganda), Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini), Difaa El Jadidi (Morocco), Zesco (Zambia), AS Togo (Togo), Etoile du Sahel (Tunisia), Esperance (Tunisia), ES Setif (Algeria), Primeiro de Agosto (Angola), TP Mazembe (DRC), Township Rollers (Botswana), Horoya (Guinea), MC Alger (Algeria), Al Ahly (Misri), Wydad (Morocco) na Mbabane Swallows (Swaziland).

Wachezaji wa Mamelodi Sundowns nchini Afrika Kusini wakisherehekea baada ya kuishinda Rayon Sport ya Rwanda
Wachezaji wa Mamelodi Sundowns nchini Afrika Kusini wakisherehekea baada ya kuishinda Rayon Sport ya Rwanda www.cafonline.com
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.