Jukwaa la Michezo
Klabu za Afrika Mashariki zaondolewa kwenye michuano ya klabu bingwa na Shirikisho
Imechapishwa:
Cheza - 23:08
Klabu za Afrika Mashariki kwa mara nyingine, zimeondolea katika michuano ya klabu bingwa na Shirikisho barani Afrika. Kwanini mambo yanaendelea kuwa hivi ? Klabu zilizofuzu katika hatua ya makundi ni pamoja na:KCCA (Uganda), Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini), Difaa El Jadidi (Morocco), Zesco (Zambia), AS Togo (Togo), Etoile du Sahel (Tunisia), Esperance (Tunisia), ES Setif (Algeria), Primeiro de Agosto (Angola), TP Mazembe (DRC), Township Rollers (Botswana), Horoya (Guinea), MC Alger (Algeria), Al Ahly (Misri), Wydad (Morocco) na Mbabane Swallows (Swaziland).