Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Mwaka mmoja wa rais wa soka barani Afrika Ahmad Ahmad

Imechapishwa:

Ahmad Ahmad rais wa Shirikisho la soka barani Afrika, amemaliza mwaka mmoja Ofisi tangu kuchaguliwa kuongoza soka katika bara hilo.Je, hadi sasa amefanya nini cha kuonekana ? Tunajadili hili.

Rais wa Shirikisho la soka barani Afrika Ahmad  Ahmad.
Rais wa Shirikisho la soka barani Afrika Ahmad Ahmad. Ahmed OUOBA / AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.