Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 23/09 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 23/09 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 22/09 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Habari mpya kabisa
 • Kampuni kubwa ya kitalii duniani Thomas Cook yafilisika
 • Kanisa Katoliki nchini Burundi laishtumu serikali ya Burundi
 • Chanjo ya pili ya Ebola kuanza kutolewa nchini DRC mwezi Oktoba
 • Darasa laporomoka jijini Nairobi nchini Kenya, wanafunzi saba wapoteza maisha
Michezo

Kikosi cha Taifa Stars kitakachoumana na Algeria, DRC chatajwa

media Wachezaji wa Taifa Stars wakiwa mazoezini RFI Kiswahili/ Victor Abuso

Kikosi cha wachezaji 23 wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars kitakachocheza michezo miwili ya kirafiki kwenye tarehe za kalenda ya FIFA dhidi ya Algeria na DR Congo kimetajwa leo Alhamis Machi 8, 2018.

Katika kikosi hicho baadhi ya wachezaji walioitwa ni pamoja na nahodha wa Simba, John Bocco ambaye amefyunga mabao 11 tangu kuanza kwa msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Kikosi hicho kitaingia kambini Machi 18, 2018 kwenye hotel ya SeaScape na kuondoka Machi 19, 2018 kuelekea Algeria kwa mchezo utakaochezwa Machi 22, 2018 kitarudi Tanzania Machi 24, 2018 kujiandaa na mchezo wa pili utakaochezwa Uwanja wa Taifa Machi 27, 2018 na DR Congo.

Kikosi kilichoitwa walinda mlango

  1.Aishi Manula  (Simba)

  2.Ramadhani Kabwili  (Young Africans)

  3.Abdulrahman Mohamed (JKU)

  Walinzi wa pembeni.

  4.Shomari Kapombe (Simba)

  5.Hasan Kesy (Young Africans)

  6.Gadiel Michael(Young Africans)

  Walinzi wa kati

  7.Kelvin Yondan(Young Africans)

  8.Abdi Banda (Baroka)

  9.Erasto Nyoni(Simba)

Viungo wa kati.

  10.Hamisi Abdallah  (AFC Leopards)

  11.Mudathir Yahaya (Singida United)

  12.Said Ndemla  (Simba)

  13.Faisal Salum (JKU)

  14.Abdulazizi Makame (Taifa Jang’ombe)

Viungo wa pembeni.

  15.Farid Mussa ( Teneriffe)

  16.Thomas Ulimwengu  (FK Sloboda Tuzla)

  17.Ibrahim Ajib  (Young Africans)

  18.Shiza kichuya  (Simba)

  19.Mohamed Issa  (Mtibwa)

Washambuliaji.

  20.Mbwana Samata (KRC Genk)

  21.Saimon Msuva (El Jadida)

  22.John Bocco  (Simba)

  23.Zayd Yahaya (Azam FC)

Benchi la ufundi.

  1.Salum Mayanga

  2.Hemed Morocco

  3.Patrick Mwangata

  4.Dani Msangi

  5.Dr.Yomba

  6.Dr.Gilbart Kigadya

  7.Ally Ruvu

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana