Jukwaa la Michezo
Je mfumo mpya wa teknolojia katika mchezo wa soka VAR, utasaidia ?
Imechapishwa:
Cheza - 24:31
Mfumo mpya wa teknolojia katika mchezo wa soka, Video assistant Referee (VAR) unatarajiwa kuanza kutumiwa rasmi katika michuano ya kombe la dunia nchini Urusi mwezi Juni. Je, hii ni teknolijia gani na inamaanisha nini katika mchezo wa soka ? Tunajadili.