Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Je mfumo mpya wa teknolojia katika mchezo wa soka VAR, utasaidia ?

Imechapishwa:

Mfumo mpya wa teknolojia katika mchezo wa soka, Video assistant Referee (VAR) unatarajiwa kuanza kutumiwa rasmi katika michuano ya kombe la dunia nchini Urusi mwezi Juni. Je, hii ni teknolijia gani na inamaanisha nini katika mchezo wa soka ? Tunajadili.

Mfumo mpya wa teknolojia katika mchezo wa soka
Mfumo mpya wa teknolojia katika mchezo wa soka www.dignited.com
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.