Rwanda na Sudan wanaweza kufika fainali ya CHAN 2018
Michuano ya CHAN inaendelea nchini Morocco, Uganda Cranes tayari imeshaondolewa katika michuano hiyo lakini nafasi bado ipo kwa Rwanda na Sudan. Je, mataifa haya yanaweza kufanikiwa ? Tunajadili hili na mengine mengi yanayotokea viwanjani Jumapili hii barani Afrika na kwingineko duniani.
Kuhusu mada hiyo hiyo