Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Michuano ya CHAN yaanza Morocco

Imechapishwa:

Michuano ya mataifa bingwa barani Afrika kwa wachezaji wanaocheza soka nyumbani, imeanza nchini Morocco. Wenyeji wameanza vema kwa kuwashinda Mauritania mabao 4-0. Uganda, Rwanda na Sudan yanawasilisha mataifa ya Afrika Mashariki.

Timu ya taifa ya Namibia baada ya kuishinda Ivory Coast bao 1-0 mchuano wa kwanza wa CHAN Januari 14 2018
Timu ya taifa ya Namibia baada ya kuishinda Ivory Coast bao 1-0 mchuano wa kwanza wa CHAN Januari 14 2018 www.cafonline.com
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.