Kusikiliza Pakua Podcast
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/08 04h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/08 05h30 GMT
  • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
    Uchambuzi na makala 19/08 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Michezo

Michuano ya CHAN kuanza Jumamosi nchini Morocco

media Nembo na kombe la CHAN 2018 www.cafonline.com

Mchuano wa ufunguzi wa michuano ya soka ya CHAN kwa wachezaji wanaocheza soka nyumbani, utaanza kutifua vumbi kati ya wenyeji Morocco na Mauritania.

Mchuano huu, utachezwa katika uwanja wa Mohammed wa tano, mjini Casablanca kuanzia saa nne na nusu usiku saa za Afrika Mashariki Jumamosi usiku.

Hii ni mara ya nne tangu kuanzishwa kwake mwaka 2009. Mwaka 2014, Morrocco ilifika katika hatua ya robo fainali ya michuano hii.

Mauritania nayo inacheza kwa tatu sasam mwisho ilikuwa ni mwaka 2014.

Refarii wa mchuano huu wa ufunguzi ni Janny Sikazwe kutoka nchini Zambia.

Ni refa mwenye uzoefu mkubwa, amechezesha mechi kadhaa za Kimataifa.

Ratiba ya michuano ya ufunguzi:-

DRC imeshinda mara mbilli mwaka 2009 na 2016, Tunisia mwaka 2011.

Kundi A: Morocco, Guinea, Sudan na Mauritania

Januari 13 2018:- Morocco v Mauritania

Januari 14 2018:-Guinea v Sudan

Kundi B: Ivory Coast, Zambia, Uganda na Namibia

Januari 14 2018:-Ivory Coast v Namibia

Januari 14 2018:-Zambia v Uganda

Kundi C: Libya (Bingwa 2014) Nigeria, Rwanda na Equitorial Guinea

Januari 15 2018: Libya v Equitorial Guinea

Januari 15 2018: Nigeria v Rwanda

Kundi D: Angola, Cameroon, Congo na Burkina Faso

Januari 16 2018: Angola v Burkina Faso

Januari 16 2018: Cameroon v Congo

Kuhusu mada hiyo hiyo
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana