Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Taji la Shirikisho nchini Tanzania

Imechapishwa:

Mabingwa watetezi wa taji la Shirikisho katika mchezo wa soka nchini Tanzania, Simba FC wameondolewa katika mashindano hayo na pamoja na klabu nyingine ya Azam FC. Matokeo haya yamesababisha uongozi wa Simba, kumfuta kazi kocha Joseph Omog raia wa Cameroon.

Wachezaji wa klabu ya Simba FC nchini Tanzania
Wachezaji wa klabu ya Simba FC nchini Tanzania allafrica.com
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.