Pata taarifa kuu
PAKISTAN-FIFA-SOKA

Pakistan kutoshiriki katika masuala ya Soka

Shirikisho la soka duniani FIFA, limetangaza kuifungia Pakistan kushiriki katika maswala ya soka.

Fifa yaiadhibu timu ya taifa ya Pakistan.
Fifa yaiadhibu timu ya taifa ya Pakistan. MARIO CRUZ/LUSA
Matangazo ya kibiashara

Hatua hii imekuja baada ya serikali nchini humo kuingilia masuala la soka kinyume na kanuni za FIFA.

Mahakama nchini Pakistan iliamua kuwateua vongozi wapya wa soka nchini humo kusimamia soka kutokana na mzozo wa viongozi wa soka, kinyume na sheria za FIFA.

Uamuzi huu umechukuliwa na FIFA wakati huu, nchi jirabi ta China ikiendelea kuandaa michuano ya dunia kwa wachezaji wasiozidi miaka 17.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.