Pata taarifa kuu
KOMBE LA DUNIA-SOKA

Michuano ya kombe la dunia kwa vijana yaendelea

Michuano ya Kombe la Dunia kwa vijana wasiozidi miaka 17 , inaendelea kupiugwa. Mechi za kundi E zinachezwa baadaye hivi leo.

Ufaransa itamenyana na JApan katika michuano ya Kombe la Dunia kwa vijana wasiozidi miaka 17.
Ufaransa itamenyana na JApan katika michuano ya Kombe la Dunia kwa vijana wasiozidi miaka 17. Wikipédia
Matangazo ya kibiashara

Ufaransa itachuana na Japan, huku Honduras ikikabiliana na New Caledonia.

Ufaransa ambayo imefuzu katika hatua ya mwondoano, inaongoza kundi hili kwa alama 6, huku Japan ikiwa na alama tatu.

Vijana wa Uingereza wamefuzu baada ya kushinda meca mechi yao dhidi ya Mexico kwa mabao 3-2.

Mchuano mwingine wa leo ni kati ya Iraq na Chile. Iraq na Mexico zina alama moja.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.