Jukwaa la Michezo
Robo fainali ya michuano ya klabu bingwa na Shirikisho barani Afrika
Imechapishwa:
Cheza - 24:46
Michuano ya hatua ya robo fainali kuwania taji la Shirikisho na Klabu bingwa barani Afrika, inachezwa katika viwanja mbalimbali barani Afrika.Tunakuletea uchambuzi wa namna mambo yalivyokuwa viwanjani.