Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Floyd Mayweather ashinda pigano lake la 50 na kustaafu

Imechapishwa:

Mwanamasumbwi kutoka Marekani Floyd Mayweather ametangaza kuwa anastaafu sasa kucheza masumbwi baada ya kumshinda Conor McGregor siku ya Jumamosi.Mayweather mwenye umri wa miaka 40, amestaafu kwa kushinda mapigano yote 50 ya Kimataifa aliyopigana.

Floyd Mayweather
Floyd Mayweather Reuters/Steve Marcus
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.