Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Timu zitakazocheza fainali ya CHAN 2018 zafahamika

Imechapishwa:

Mataifa yaliyofuzu katika michuano ya bara Afrika ya CHAN, kwa wachezaji wanaocheza soka nyumbani yamefahamika.Ukanda wa Afrika Mashariki unawakilishwa na wenyeji Kenya, Uganda, Sudan lakini mabingwa watetezi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo waliondolewa na jirani zao Congo Brazzaville. 

Rais wa shirikisho la Soka barani Afrika, Caf, Ahmed Ahmed.
Rais wa shirikisho la Soka barani Afrika, Caf, Ahmed Ahmed. performgroup
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.