Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Marekani na Kenya yatawala mashindano ya riadha ya dunia

Imechapishwa:

Marekani na Kenya, zimetawala mashindano ya riadha ya dunia yaliyomalizika leo jijini London nchini Uingereza. Pamoja na hilo tunajadili michuano ya kufuzu kwa michuano ya soka ya CHAN, itakayofanyika mwaka ujao nchini Kenya. Tanzania nayo, pia imempata rais mpya wa Shirikisho la soka.

Wanariadha walioshiriki katika mashindano ya riadha ya dunia
Wanariadha walioshiriki katika mashindano ya riadha ya dunia Reuters/John Sibley
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.