Jukwaa la Michezo
Marekani na Kenya yatawala mashindano ya riadha ya dunia
Imechapishwa:
Cheza - 22:53
Marekani na Kenya, zimetawala mashindano ya riadha ya dunia yaliyomalizika leo jijini London nchini Uingereza. Pamoja na hilo tunajadili michuano ya kufuzu kwa michuano ya soka ya CHAN, itakayofanyika mwaka ujao nchini Kenya. Tanzania nayo, pia imempata rais mpya wa Shirikisho la soka.