Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Micho asitisha mkataba wake na Uganda Cranes

Imechapishwa:

Kocha wa timu ya taifa ya soka ya Uganda, Mserbia Milutin “Micho” Sredojevic amesitisha mkataba wa kuendelea kuifunza Uganda. Hatua hii imekuja baada ya kutoelewana na viongozi wa Shirikisho la soka nchini humo FUFA kuhusu masuala mbalimbali.Tunajadili.

Kocha Milutin Micho
Kocha Milutin Micho michezoplus.com
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.