Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Siasa za upinzani nchini Kenya

Imechapishwa:

Wanasiasa nchini Kenya, bado wanaendelea na mchakato wa kumtafuta atakayepeperusha bendera ya muungano wa NASA wakati wa Uchaguzi Mkuu mwezi Agosti. Kwanini imechukua muda mrefu kwa wanasiasa hao wanne Raila Odinga, Kalonzo Musyoka, Moses Wetangula na Musalia Mudavadi kumpata mgombea ?

Viongozi wa  upinzani nchini Kenya kutoka kushoto Musalia Mudavadi, Kalonzo Musyoka, Raila Odinga, na  Moses Wetangula
Viongozi wa upinzani nchini Kenya kutoka kushoto Musalia Mudavadi, Kalonzo Musyoka, Raila Odinga, na Moses Wetangula REUTERS/Thomas Mukoya
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.