Jukwaa la Michezo
Fainali kombe la mataifa ya Afrika U20 na uchaguzi mkuu CAF
Imechapishwa:
Cheza - 21:57
Makala ya Jukwaa la Michezo Jumapili hii inachambua fainali ya kombe la mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 20 pamoja na kinyanganyiro cha uchaguzi mkuu wa Caf, kati ya Issa Hayatou na Ahmad Ahmad.