Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 12/12 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 12/12 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 11/12 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk
Habari mpya kabisa
 • Macron aahirisha mkutano wa kilele wa Pau kuhusu Sahel hadi mwanzoni mwa mwaka 2020 kwa sababu ya shambulio nchini Niger (Elysee)

Yaliojiri viwanjani mwaka 2014

article Ishara ya Kombe la dunia la soka 2014

Baadhi ya matukio muhimu yaliyotokea viwanjani mwaka 2014, barani Afrika, Ulaya, Amerika Asia Ulaya na kwingineko duniani. Matukio hayo yalitokea katika viwanja mbalimbali hususan katika Soka, mchezo wa kikapo, Volley ball, Riadha, mbio za magari, na kadhalika...

Kumbukumbu

Makala yetu ya hivi karibuni

 • Suala la ugaidi lawagawanya wabunge Kenya

  Nchini Kenya, baadhi ya wabunge wanamshinikiza kiongozi wao bungeni Aden Duale kujiuzulu baada ya kusema kuwa kwa muda wa mwezi mmoja ujao…

 • Ethiopia yajiondoa katika maandalizi ya CECAFA

  Afrika Mashariki na Kati, mwaka huu michuano ya soka ya kila mwaka ya CECAFA, hayakufanyika kama ilivyopangwa baada ya wenyeji Ethiopia…

 • Senzo Meyiwa auawa Afrika Kusini

  2014 ulikua pia mwaka wa huzuni kwa wapenzi wa soka nchini Afrika Kusini baada ya kuuawa kwa nahodha wa Bafana Bafana kipa Senzo Meyiwa.

 • Kombe la Mataifa bingwa barani Afrika

  Barani Afrika, mwaka huu nchi ya Morroco ilijiondoa kuwa mwenyeji wa michuano ya soka kuwania taji la Mataifa bingwa barani Afrika kwa…

 • Michezo ya Jumuiya ya Madola

  Mji wa Glasgow nchini Scotland ulikuwa mwenyeji michezo ya Jumuiya ya Madola, iliyowaleta pamoja zaidi ya wanamichezo elfu nne kutoka…

 • Dennis Kimetto avunja rekodi ya dunia mwaka 2014

  Katika mchezo wa Riadha, kitakachokumbukwa mwaka huu ni kuvunjwa kwa Rekodi ya dunia katika mbio za Marathon iliyovunjwa na Mkenya Dennis…

 • Kombe la dunia Brazil 2014

  Kikubwa kitakachokumbukwa mwaka huu unaokamilika ni michuano ya soka ya kombe la dunia iliyofanyika nchini Brazil kati ya tarehe 12 mwezi…

 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana