Kusikiliza Pakua Podcast
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 04h30 - 05h00 TU
  Uchambuzi na makala 21/11 04h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 05h30 - 06h00 TU
  Uchambuzi na makala 21/11 05h30 GMT
 • Sikiliza taarifa za habari zilizopita 15h00 - 16h00 TU
  Uchambuzi na makala 20/11 15h00 GMT
Ili Kufurahia kikamilifu maudhui ya multimedia yetu, unahitaji kuwa na Plugin iliyowekwa kwenye kompyuta yako Ili kuingia, unahitaji kuruhusu cookies zote kwa kuseti vizuri Ili kutembelea mtandao, tovuti ya RFI inaenda sambamba na Internet Explorer 8 na + Firefox 10 na +, Safari 3 na +, Chrome 17 na + nk

Uchambuzi wa matukio ya michezo yaliyojiri juma nzima barani Afrika

Uchambuzi wa matukio ya michezo yaliyojiri juma nzima barani Afrika
 
cafonline.com

Juma hili katika Jukwaa la Michezo, tunaangazia hatua  ya Shirikisho la soka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuachana na harakati za kutaka kuwa wenyeji wa michuano ya soka baina ya mataifa ya Afrika mwaka 2019, lakini pia tunachambua  hatua ya Shirikisho la  soka barani Afrika CAF, kumfungia kocha wa timu ya taifa ya soka ya Kenya Adel Amrouche miezi 12 kwa kumtemea  mate afisaa wa CAF mwezi Juni  nchini Comoros.

Ungana na Victor Abuso, Emmanuel Makundi, Collins Libert Adede na Kahozi Kosha kupata uchambuzi wa kina.


Kuhusu mada hiyo hiyo

 • SOKA-CAF

  TP Mazembe yaandikisha ushindi nchini Mali kutafuta ubingwa wa CAF

  Soma zaidi

 • MICHEZO

  Timu ya Nkana yabanwa mbavu nyumbani michuano ya CAF

  Soma zaidi

 • SOKA

  Kocha wa Zambia Herve Renard aruhusiwa kuondoka

  Soma zaidi

 • AFRIKA-Soka

  Michuano ya soka ya klabu bingwa barani Afrika yarindima kwenye viwanja vya baadhi ya mataifa ya Afrika

  Soma zaidi

 1. 1
 2. 2
 3. 3
 4. ...
 5. Kifuatacho >
 6. Mwisho >
Makala
 
Samahani, mwunganisho na sava umeshindikana