Juma hili katika Jukwaa la Michezo tunachambua kumalizika kwa ligi kuu ya soka nchini Uingereza.Je umekuwa ni msimu wa aina gani ? Timu yako imekuwaje ? Pata uchambuzi wa kina.
Vipindi vingine
-
CAF CL: Tp Mazembe, Yanga na Simba wafahamu wapinzani wao wa robo fainali
Karibu katika makala ya jukwaa la michezo, leo tumekuandalia mengi tukianzia na droo ya robo fainali katika michuano ya klabu bingwa barani afrika, mashindano ya bara afrika pamoja na droo ya robo fainali katika mashindano ya klabu bingwa barani ulaya.16/03/202423:54 -
Ndondi : Anthony Joshua amshinda Francis Ngannou katika raundi ya pili
Karibu katika makala ya jukwaa la michezo leo tunaangazia kushindwa kwa mwana masumbwi Francis Ngannou na Anthony Joshua,kuanza kwa mashindano ya 13 ya bara Afrika nchini Ghana pamoja na Paris Saint Germain kufuzu katika robo fainali michuano ya klabu bingwa barani ulaya.09/03/202424:04 -
Kenya kujenga uwanja mpya kwa ajili ya michuano ya Afcon mwaka 2027
Karibu katika makala ya jukwaa la michezo leo tunaangazia kujengwa kwa uwanja mpya wa michezo nchini kenya, michuano ya klabu bingwa barani afrika pamoja na taifa la ufaransa kukamilisha ujenzi wa kijiji kitakachotumiwa na wanariadha katika michezo ya olimpiki.02/03/202423:51 -
Mashindano ya Tour du Rwanda mwaka 2024 yamekamilika hii leo jijini Kigali
Karibu katika makala jukwaa la michezo, leo hii tunaangazia kukamilika kwa mashindano ya kuendesha baiskeli ya Tour du Rwanda, mashindano ya mchezo ya gofu Magical kenya open pamoja na klabu ya Yanga na Tp Mazembe kufuzu katika hatua ya robo fainali katika michuano ya robo fainali katika michuano ya klabu bingwa barani afrika.25/02/202422:41 -
Mashindano ya Tour du Rwanda kuanza hapo kesho katika mji wa Kigali
Karibu katika makala ya Jukwaa la michezo, leo tumekuandalia mengi ikiwemo kuanza kwa mashindano ya kuendesha baiskeli ya Tour du Rwanda, mazungumzo ya kipekee na waziri wa michezo nchini Tanzania Damas Ndumbaro pamoja na kupigwa marufuku mechi nne kwa mchezaji wa timu ya taifa ya senegal Kreppin Diatta.17/02/202424:00